LIGI daraja la kwanza nchini Hispania maarufu kama La Liga inatarajiwa kuendelea tena leo Jumamosi kwa michezo minne ya ligi hiyo kuchezwa.
Ratiba Kamili
Real Sociedad v Granada (14:00)
Real Madrid v Valencia (17:15)
Las Palmas v Atlético de
Madrid 19:30
Espanyol v Barcelona 21:45
No comments