HIZI HAPA KURASA ZA MICHEZO ZA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI AGOSTI 21,2016
Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo kwa upande wa michezo ambapo Timu ya mpira Simba FC inayocheza kwenye Vodacom Ligi Kuu Bara, yaibuka mshindi jana na kujinyakulia point 3 ilipoingia dimbani na Ndanda FC, huku wapinzania wake Yanga FC, kulazimika kuahirisha mechi yao waliyokuwa wanatarajiwa kucheza jana na JKT Ruvu ili wajiandae kuondoka leo kwenda kupambana na TP Mazembe kuhitimisha michezo yake katika Kombe la Shirikisho la Afrika.
No comments