Yafuatayo ni baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio de Janeiro iliokamilika.
KENYA ilikuwa katika nafasi ya 15
DHAHABU:
Jemima Sumgong – Marathon ya wanawake
David Rudisha – Mita 800 wanaume
Faith Kipyegon – Mita 1500 wanawake
Conseslus Kipruto -Mita 3000 wanaume kuruka viunzi na maji
Vivian Cheruiyot – Mita 5000 wanawake
Eliud Kipchoge – Marathon wanaume
FEDHA:
Paul Tanui – Mita 10,000 wanaume
Vivian Cheruiyot – Mita 10,000 wanawake
Hyvin Kiyeng – Mita 3,000m kuruka viunzi na maji-wanawake
Boniface Mucheru Tumuti – Mita 400m kuruka viunzi-wanaume
Hellen Obiri – Mita 5000-wanawake
Julius Yego – Kurusha mkuki-wanaume
SHABA:
Margaret Wambui – Mita 800-wanawake
(Alipokonywa medali -Ezekiel Kemboi – Mita 3000 kuruka viunzi na maji
AFRIKA KUSINI ilikuwa katika nafasi ya 30
DHAHBU:
Wayde van Niekirk – Alivunja rekodi ya dunia-Mita 400-wanaume
Caster Semenya – Mita 800-wanawake
FEDHA:
Cameron Van Der Burgh – Mita 100 Breaststroke-wanaume
Chad Le Clos – Mita 200m Freestyle-wanaume
Lawrence Brittain & Shaun Keeling – Kupiga makasia-wanaume
Chad Le Clos – Mita 100 Fly- wanaume
Luvo Manyonga – Long Jump- wanaume
Sunette Viljoen – Kurusha mkuki-wanaume
SHABA:
Rugby Sevens – Wanaume
Henri Schoeman – Triathlon -Wanaume
ETHIOPIA ilikuwa katika nafasi ya 44
DHAHABU:
Almaz Ayana – Mita 10,000 wanawake – Rekodi ya dunia
FEDHA:
Genzebe Dibaba – Mita 1500- wanawake
Feyisa Lilesa – Marathon -wanaume
SHABA:
Mare Dibaba – Marathon- wanaume
Tamirat Tola – Mita 10,000 -wanawake
Tirunesh Dibaba – Mita 10,000- wanawake
Almaz Ayana – Mita 5000- wanawake
Hagos Gebrhiwet – Mita 5000- wanaume
IVORY COAST ilikuwa katika nafasi ya 51.
DHAHABU:
Cheick Sallah Cisse – Taekwondo-Wanaume chini ya kilo 80
SHABA:
Ruth Gbagbi – Taekwondo- Wanawake chini ya kilo 67
ALGERIA ilikuwa ya 62.
FEDHA:
Taoufik Makhloufi – Mita 800- wanaume
Taoufik Makhloufi – Mita 1500- wanaume
BURUNDI ilikuwa ya 69
FEDHA:
Francine Niyonsaba – Mita 800-wanawake
NIGER ilikuwa katika nafasi ya 69
FEDHA:
Abdoulrazak Issoufou Alfaga-Taekwondo-wanaume chini ya kilo 80
MISRI ilikuwa katika nafasi ya 75
SHABA:
Sara Ahmed – Kubeba uzani kilo 69
Mohammed Mahmoud – Kubeba uzani kilo 77
Hedaya Wehaba -Taekwondo wanawake kilo 57
TUNISIA ilikuwa katika nafasi ya 75
SHABA:
Ines Boubakri – Fencing- Wanawake
Marwa Amri – Miereka -Wanawake kilo 58
Oussama Oueslati – Taekwondo -wanaume chini ya kilo 80
MOROCCO ilikuwa nafasi ya 78
SHABA:
Mohamed Rabii – Masumbwi uzani wa Welterweight
NIGERIA ilikuwa katika nafasi ya 78
SHABA
Timu ya kandada ya -wanaume
No comments