Mchezaji Danny welbeck anaweza asionekane katika mchezo was Leo Kati ya Arsenal na Sutton baada ya yeye kukitumikia kikosi cha ArsenalU23 siku ya jumapili.
Welbeck amesema sababu ya yeye kukitumikia kikosi hicho change vijana no kutokana na muonekano wake .
Arsenal inakutana na Sutton Leo katika kukamilisha raundi ya tano na mshindi atafuzu moja kwa moja kuingia hatua ya robo fainali.
No comments