ISCO AANZA KUUFIKIRIA MUSTAKABARI WA KUONDOKA REAL MADRID
Kiungo wa Real Madrid Isco amekiri kuwa kuzingatia mustakabali wake katika majira ya joto huenda akaondoka klabuni hump.
Isco alijiunga na vigogo hao wa Hispania kutoka Malaga katika majira ya joto 2013, na ameshinda Ligi ya Mabingwa mara mbili,Kombe la Dunia kwa vilabu mara mbili,Kombe la Super cup mara mbili na mara moja Copa del Rey katika miaka minne. Mhispania huyo alicheza michezo 53 katika kila moja ya misimu yake miwili ya kwanza na 43 katika msimu wake was tatu , lakini amegundua kua fursa ya kucheza chini ya Zinedine Zidane msimu huu no ngumu.
"Mimi nina swari. Nini wasiwasi,mimi kwenda na mda? , "aliiambia bein Sports.
No comments