Mshambuliaji Gabriel Jesus wa Manchester City amevunjika mfupa wa tano wa mguu maarufu kama metatarsal.
Jesus ambaye alionekana ni mkombozi wa Man City katika ushambulizi
alivunjika katika dakika ya 14 ya mchezo dhidi ya Bournemouth ambao City
walishinda kwa mabao 2-0.
Lakini tayari amepatiwa matibabu na na inaonekana maendeleo ni mazuri.
No comments