Header Ads

MECHI KALI UEFA LEO USIKU


Leo Arsenal itakwenda katika jiji la munchen kumenyana na Bayern Munchen katika kupigania kuingia robo fainali katika michuano ya Ligi ya mabingwa barani ulaya , JE WATAWEZA KUWAFUNGA WAJERUMANI HAO?

Mara ya mwisho tamu hizo kukutana Bayern alimfunga Arsenal katika hatua ya 16 bora ,je Arsenal wataweza kulipiza kisasi cha kufungwa na Bayern

 Mechi nyingine leo ni kati ya Real Madrid na Napoli    

No comments