Wachezaji
wa Simba wakiingia eneo la bandari kwenda kupanda boti ikiwa ni safari
ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani
wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
Mshambuliaji
wa Kimataifa wa Burundi Laudit Mavugo akiwa anaongoza kuelekea eneo la
kusubiria boti wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki
moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari
25.
Wachezaji
wa Simba wakiwa wanasubiri kukaguliwa tiketi getini wakati wa safari ya
Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani
wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
Wachezaji
wa Simba wakiwa wanasubiri kukaguliwa tiketi getini wakati wa safari ya
Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani
wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
Kocha
wa Simba Joseph Omog akiongea na shabiki wa timu hiyo leo Jijini Dar es
salaam wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja
kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
Mchezaji
wa kimataifa kutoka Demokrasia ya Jamhuri wa Kongo, Janvie Basela
Bukungu akisalimiana na shabiki wa timu hiyo wakati wa safari ya
Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani
wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
Beki
wa Kushoto wa Simba Mohamed Tshabala akiwa amekaa chini akiongea na
simu wakiwa tayari kwa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki
moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari
25.Picha Zote na Humphrey Shao.
No comments