Header Ads

ZLATAN IBRAHIMOVIC ATOKEA BENCHI KUISAIDIA MAN U KUSONGA MBELE FA

Zlatan Ibrahimovic ametokea benchi na kuwasaidia mabingwa watetezi Manchester United kupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Blackburn katika kombe la FA.

Mshambuliaji Ibrahimovic alipatiwa muda wa kutosha akiwa kwenye eneo la goli na kuinasa pasi ya Paul Pogba aliyetokea benchi na kufunga goli.


Marcus Rashford aliisawazishia goli Manchester United baaada ya Danny Graham kuwapatia wenye goli la kwanza katika mchezo huo. Manchester United sasa itakutana na Chelsea.

     Zlatan Ibrahimovic akifunga goli la pili la katika mchezo huo
     Zlatan Ibrahimovic akifunga goli la pili la katika mchezo huo

No comments