Header Ads

LEICESTER CITY SASA YARUDI KWENYE MSTARI

Riyad Mahrez (Pichani) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Leicester City bao moja kwenye ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Hull City nyumbani King Power Stadium. 

Mabao mengine ya Leicester City yamefungwa na mlinzi Christian Fuchs pamoja na Tom Huddlestone aliyejifunga akiwa katika harakati za kuokoa hatari langoni mwake.Bao la Hull City limefungwa na Sam Clucas.

Hull took the lead midway through the first half when Sam Clucas finished off flowing counter-attack from the visitors

Ushindi huo umeifanya Leicester City kushika nafasi ya 15 baada ya kufikisha pointi 27,pointi tano juu ya mstari wa kushuka daraja.

No comments