Header Ads

ZLATANI APIGWA RUNGU LA FA

Zlatan Ibrahimovic amefungiwa mechi tatu na chama cha soka nchini Uingereza baada ya kukubali kosa alilolifanya la kumpiga kiwiko beki wa klabu ya Bournemouth , Tyrone Mings.

Zlatan atakosa mechi ya kombe la FA dhidi ya Chelsea , machi 13 na mechi mbili za EPL dhidi ya Middlesbrough na West Brom.

No comments