Header Ads

BAYERN YASHINDA BAO 6

Robert Lewandowski pichani amefunga mabao matatu (hat-trick) na kuiwezesha Bayern Munich kuifunga Augsburg kwa mabao 6-0 katika muendelezo wa michezo ya ligi ya Bundesliga.


Mabao hayo matatu yamemfanya Lewandowski afikishe mabao 36 msimu huu.Mabao mengine ya Bayern Munich yamefungwa na Thomas Muller aliyefunga mabao mawili na Thiago Alcantara aliyefunga bao moja.

No comments