Kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys ambacho kipo nchini Gabon kushiriki michuano ya Afrika, kinatarajiwa kushuka uwanjani baadaye leo kucheza dhidi ya Angola, tayari majina yameshajulikana na wachezaji wenyewe ni hawa hapa.
Ramadhan Kabwili
Kibwana Ally
Nickson Kibabage
Dickson Job
Ally Msengi
Enrick Vitalis
Abdul Suleiman
Ally Ng'anzi
Yohana Mkomola
Kelvin Naftal
Assad Juma
Kibwana Ally
Nickson Kibabage
Dickson Job
Ally Msengi
Enrick Vitalis
Abdul Suleiman
Ally Ng'anzi
Yohana Mkomola
Kelvin Naftal
Assad Juma
No comments