Header Ads

MAN U YANUSA FAINALI

Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya Celta Vigo ya Hispania katika mchezo wa Nusu fainali ya Kombe la Europa.
Katika mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa Manispaa ya Balaidos, shukrani za pekee zikienda kwa Marcus Rashford aliyefunga bao dakika ya 66 kwa mkwaju wa adhabu uliokwenda moja kwa moja nyavuni

No comments