
Man United imefanya hafla ya kukabidhi tuzo kwa wachezaji wake mbalimbali na Antonio Valencia ameibuka na kuwa mchezaji bora wa mwaka akiwa bao nyota wengine akiwemo Zlatan Ibrahimovic.
MCHEZAJI BORA WA MWAKA:
Antonio Valencia
BAO BORA LA MSIMU
Henrikh Mkhitaryan
MCHEZAJI KIJANA BORA WA MWAKA
Angel Gomes
No comments