Header Ads

WAHUNI WAMFANYIZIA COUNTINHO WA LIVERPOOL

Kiungo wa Liverpool, Philippe Coutinho, usiku wa kuamkia leo ulikuwa mchungu kiasi, baada ya gari lake kuunjwa kioo na wahuni.
Countinho aliyekuwa ameongozana na mkewe, alitumia gari lake aina ya Porsche Macan lenye thamani ya pauni 60,000 ambapo alihudhuria sherehe hiyo akiwa na mkewe huyo, akiwa ndani ndipo watu wasiojulikana wakalivamia gari lake na kuvunja kioo, jambo ambalo alikuja kulibaini baadaye.
Pamoja na hivyo Coutinho na mkewe, Aine wote walikuwa salama na waliondoka salama kwenye eno la ukio mitaa ya Anfield. 

No comments