Header Ads

YANGA IKIKABIDHIWA UBINGWA WA 27 LEO, HII NDIYO ORODHA KAMILI YA MABINGWA WA LIGI KUU

Msimu wa 2016/17 wa Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kumalizika leo Jumamosi, tayari Yanga wana nafasi kubwa ya kuwa mabingwa kwa kuwa wana pointi nyingi na wastani mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa dhidi ya wapinzani wao, Simba ambao wanashika nafasi ya pili.
Ikiwa Yanga itakamilisha mchakato wake huo wa kutwaa ubingwa, utakuwa ni ubingwa wa 27 wa ligi kuu, Simba wao wametwa ubingwa huo mara 18 na huu ni mwkaa wao wa tano bila kutwaa ubingwa huo.
 
Wakati tukisubiri kushuhudia hitimisho la ligi hiyo, tujikumbushe mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom:

MABINGWA LIGI KUU BARA
1965: Sunderland (Simba)
1966: Sunderland
1967: Cosmopolitan
1968: Yanga
1969: Yanga
1970: Yanga
1971: Yanga
1972: Yanga
1973: Simba
1974: Yanga
1975: Mseto
1976: Simba
1977: Simba
1978: Simba
1979: Simba
1980: Simba
1981: Yanga
1982: Pan Africans
1983: Yanga
1984: Simba
1985: Yanga
1986: Tukuyu 
1987: Yanga
1988: Coastal 
1989: Yanga
1990: Simba 
1991: Yanga
1992: Yanga
1993: Yanga
1994: Simba 
1995: Simba
1996: Yanga
1997: Yanga
1998: Yanga
1999: Mtibwa
2000: Mtibwa
2001: Simba
2002: Yanga
2003: Simba
2004: Simba 
2005: Yanga
2006: Yanga
2007: Simba 
2008: Yanga
2009: Yanga
2010: Simba
2011: Yanga
2012: Simba
2013: Yanga
2014: Azam FC
2015: Yanga
2016: Yanga
2017: ?

No comments