Header Ads

RATIBA MPYA YA PREMIER LEAGUE MECHI ZA UFUNGUZI

Ratiba ya Premier League katika msimu wa 2017-18 imetoka ambapo mabingwa watetezi, Chelsea watafungua dimba dhidi ya Burnley huku Manchester United ikiikaribisha West Ham United.
Tottenham ttakuwa ugenini kuwakaribisha wageni wenyeji wa ligi hiyo, Newcastle United wakati Arsenal watawavaa Leicester kwenye Uwanja wa Emirates.

Ligi hiyo inatarajiwa kuanza Agosti 12, mwaka huu.
Ratiba ya ufunguzi wa PREMIER LEAGUE
Arsenal v Leicester City
Brighton v Manchester City
Chelsea v Burnley
Crystal Palace v Huddersfield Town
Everton v Stoke City
Manchester United v West Ham United
Newcastle United v Tottenham
Southampton v Swansea City
Watford v Liverpool
West Bromwich Albion v Bournemouth

No comments