
Salah ambaye alionyesha uwezo mkubwa katika mwezi uliopita, amebeba Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti ndani ya klabu hiyo.
Salah alifunga mabao mawili na kutoa asisti mbili katika mechi zake mbili za kwanza akiwa Liverpool katika Premier League na hivyo kuwa kivutio kwa mashabiki wengi wa timu hiyo.
No comments