
Pogba aliingia katika mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa ndiye nahodha wa timu lakini alishindwa kkuendelea katika dakika ya 19 ya mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford.
Alitoka na nafasi yake kuchukuliwa na Marouane Fellaini ambaye alifunga bao katika mchezo huo.
Bado hakuna jibu juu ya afya yake lakini kuna uwezekano mkubwa akawa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa.
No comments