Header Ads

SIMON MSUVA NDIYE MCHEZAJI BORA WA MWEZI AGOSTI NDANI YA DIFAA AL JADID

Mshambuliaji Simon Msuva ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Agosti katika klabu yake ya Difaa Al Jadid inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco.
Msuva ambaye ni mchezaji wa zamani wa Yanga ameteuliwa kuwa mchezaji wa Agosti kutokana na mchango wake mkubwa aliouonyesha tangu ametua kikosini hapo hivi karibuni.
Msimu uliopita, Difaa Al Jadid ilishika nafasi ya pili, hivyo msimu huu itashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

No comments